Msanii mkali wa bongo fleva anayetamba na wimbo wake wa nimpende nani, na pia mshindi wa tuzo tatu za kilimanjaro tanzania music awards (KTMA) kwa mwaka 2011/2012, atatumbuiza ndani ya BBA siku ya jumapili may 27 kwenye live eviction show saa 20;00 CAT
Kumbuka diamond ni msanii wa kwanza kutoka Tanzania kuwa nominated kwenye tuzo za MTV african music awards (MAMA).category ya new act award 2010