Saturday, May 26, 2012

GUCCI MANE ADONDOSHA MIXTAPE

Hip hop artist from area ya Obama Gucci mane, ameachia mix tape inayokwenda kwa jina la i'm up. Katika mixtape hiyo Gucci mane amewapa mashavu rick ross, jim jones, birdman, big sean na wengine wengi.