Haya ni baadhi ya mabango ya kuwanadi wagombea katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM)
Wagombea katika uchaguzi huu ni
1-Emanuel Hezron
2-Emanuel Kalindaga
3-Charles Michael
4-Jeremiah Mayenga
Duru ya kwanza ya uchaguzi inatarajiwa kufanyika siku ya jumatatu tarehe 7 may 2012, ambapo watapitishwa wagombea wawili ambao watachuana katika duru ya pili.