Wednesday, May 9, 2012

Jadakiss Advises Mase on Comeback to Rap

Hip hop artist kutoka US Jadakis ameamshauri msanii mwenzake ambaye amewai kutamba miaka ya 90 akiwa katika music lebel ya bad boy MASE kurudi kwa nguvu zote ikiwa anataka kurudi tena katika game. Jadakiss alisema hayo alipoojiwa na  allhiphop.com