Tuesday, May 29, 2012

RIHANNA CONFIRMS TO BE IN LOVE WITH DRAKE ON TWITTER



Mwanadada kutoka code ya +1 Rihanna aametangaza  kua  katika uhusiano wa kimapenzi na artist kutoka lebel ya YMCMB Drake. Rihanna amepost katika twitter account yake leo.