Thursday, October 22, 2015

Tanzania Youth Coalition (TYC) Yatoa mafunzo ya uchaguzi kwa vijana



Tanzania Youth Coalition imefanikiwa kutoa mafunzo ya uangalizi wa uchaguzi mkuu kwa baadhi ya vijana wa kitanzania, vijana hao watakuwa waangalizi katika wilaya ya Kinondoni katika majimbo ya Ubungo, Kawe, Kinondoni na Kibamba.Ningependa kuwashukuru team nzima iliyoendesha mafunzo hayo siku ya jumatatu 19/10/2015
Mafunzo hayo ambayo yalitolewa katika hotel ya Rombo green view yalioongoza na  Erick, George, Florence na Paschal Minja,