![]() |
Phina revocatus akiwa katika pozi la pamoja na mshindi wa pili na wa tatu |
![]() |
Miss IFM 2012 akiwa na Mr IFM 2012 |
Mbio za kumsaka mrembo atakaye kiwakilisha chuo cha usimamizi wa fedha IFM katika kinyang'anyiro cha miss vyuo vikuu 2012 zimefikia tamati hapo jana usiku katika ukumbi wa blue pearl hotel. Katika shindano hilo ambalo lilipambwa na msanii wa bongo fleva diamond, Mshiriki Phina Revocatus aliibuka mshindi wa kwanza akifuatiwa na mshindi wa pili Jane Augustino na wa tatu Theresia Isaya.