Friday, June 15, 2012

CHRIS VS DRAKE SAGA | BODYGUARD WA CHRIS APASULIWA NA CHUPA

  
 mvua ya chupa iliyotokea usiku wa jumatano katika club ya WIP jijini new york kati ya wapambe wa look at me now hit singer chris brown na wapambe wa the rapper kutoka kundi la YMCMB  drake, imepelekea bouncer wa chris anayejulikana kwa jina ka Big pat kupasuka vibaya kutokana na kumkingia kifua boss wake yani chris,hata ivo mwili nyumba huyo pat alipata matibabu ya haraka na siku iliyofuata alionekana kuwa mzima