 |
Sehemu aliyoumizwa chris brown |
 |
Eneo ambalo inasemekana fujo hizo kufanyika |
The motto hit singer drake inasemekana amezitwangwa na mkali wa nyimbo ya turn up the music Chrisbrown. Wawili hao ambao kwa time tofauti wameshawai date na cute girl Rihanna inasemekana walizipiga katika club moja ya usiku jijini New york goes by the name Club WIP. Inasemekana Chris Brown ordered four bottles of cristal na akaagiza ipelekwe kwenye meza ya Drake, Drake ambaye alikua together na Meek millz aliignores dat order. Baadhi ya mashuuda watukio hilo wanasema meek mills anachangia kwa kiasi kikubwa katika ugomvi huo but he later tweeted "it wasn't me" akimaanisha kutohusika katika ugomvi huo.
Inasemekana Drake's crew ndio waliomrushia chupa Chri brown na kumuumiza sehemu ya kidevu. Chris brown ametweet picha inayoonesha sehemu aliyoumizwa.
Mwakilishi wa Drake amesema Drake akuhusika kwa namna yeyote katika ugomvi huo sababu alikua anaondoka wakati ugomvi fujo zinaanza. Mashuhuda wanasema akukua na physical contact between wawili hao.