Friday, June 1, 2012

LIL WAYNE "MDANANDA"

 AJARIBU KUINGIA KWENYE GAME BILA TIKETI
Lil Wayne-20120305-30.jpg
Jana alhamis (may 31) usiku , Lil wayne alishindwa kuangalia mechi kali ya mpira wa kikapu ya ligi ya NBA kati ya oklahoma city thunder (OCT) na  San antonio spurs.
Lil wayne aliwatupia lawama uongozi wa team ya OCT akidai kuzuiwa kuingia uwanjani alitweet "Going to go to the Thunder game tonight but was denied by the team to be in their arena. Wow."


hata ivo mwakilishi wa OCT alisema "We did not deny him. His representatives contacted us about court side tickets and we told them we are completely sold out."


Msimu huu oklahoma city thunder wameuza tiketi zote kwa mechi zote walizocheza nyumbani, kwa maana hiyo Lil wayne angetakiwa kununua tiketi mapema.
"We'd love to have him at a game, but like anyone else, he needs a ticket," aliongezea mwakilishi huyo wa OCT
Mwisho wa siku lil wayne alimalizia kwa ku tweet "go Spurs",