Msanii wa hiphop kutoka lebel ya YMCMB Lil wayne amesema mcheza kikapu maarufu from US Kobe Bryant amemuinspire sana katik amaisha yake, "He is inpired me in my life" .Lil wayne alisema hayo wakati anaojiwa na LA Times. Lil anaongeza kusema .
"He's inspired not only songs, but he's inspired me in life in general just the way he attacks things, the way he never backs down, the way he fights through injury,".
"I believe he's the greatest player to touch a basketball.”