Thursday, May 10, 2012

REDDS MISS USTAWI WA JAMII 2012 HILDA EDWARD

Hilda Edward (katikati) baada ya kuwabwaga wenzake na kuibuka Redds miss ustawiwa jamii 2012. Kinyang'anyiro hicho kilifanyika May 4  ndani ya Maisha club. Mshindi wa pili na watatu ni Nancy Maganga na   Ndenisia Mbowe(pichani).