Thursday, May 31, 2012

REDDS MISS MBEYA 2012


 

Redds miss Mbeya 2012 inatarajiwa kufanyika kesho tarehe 1 June katika ukumbi wa Mkapa conference hall. katika shindano hilo kiingilio kitakua ni Tsh 10000 kwa VIP na Tsh5000 kawaida, Shindano litasindikizwa na  Coast modern taarab.