Mwanamitindo na muimbaji mwenye mvuto wa aina yake selena gomez, ambaye pia ni mpenzi wa muimbaji maarufu justinne bieber hivi juzi juzi alinaswa na camera za mapaparazi akijiachia kiasi cha kusahau kuwa bikini yake ilikuwa ina shuka na kuacha sehemu kubwa ya makalio yake kuonekena wazi wazi..