Tuesday, June 5, 2012

CHUOLIFE EXCLUSSIVE ENTERVIEW WITH BUSARA ZA MAPENZI HITSINGER SPINCE SESEME

Anatokea katika crew ya kijanja mjini family madonta ilala zone iliyopo Ilala jijini Dar es salaam,anaitwa Spince Seseme, ambaye kwa sasa anatamba na track yake  ya busara za mapenzi. Ni huyu ndiye aliyewai kushirikishwa na Ally Kiba katika track iliyomleta Ally Kiba katika game ya bongo fleva iitwayo sinderela.
CHUOLIFE Leo ilipata nafasi ya kupiga story na Spince Seseme......................

CHUOLIFE; Ulianza lini music?
SPINCE; Music nilianza mwaka 1997
CHUOLIFE; Nini kilikufanya uingie kwenye music?
SPINCE: Familia yangu ni ya music, ukianzia babaalikua anajiusisha na music,mjomba na hata kaka zangu
               so wao ndio walinfanya niingie kwenye music

CHUOLIFE; Kwanini ulibadilika kutoka kuimba hip hop mpaka kuimba bongofleva?
SPINCE; Wakati naanza music nlikua naimba, baadae nikachange nikawa na rap so niliona nirudi nilipoanzia
CHUOLIFE; Msanii gani unamkubali Bongo na msanii gani unamkubali mbele?
SPINCE; Bongo namkubali Banana Zoro wakati mbele namkubali sana R Kelly
CHUOLIFE; Unawambia nini mashabiki wako na wabongo kwa ujumla?
SPINCE: Nawaambia watarajie mambo makubwa kutoka kwangu mwaka huu. baada ya busara za
                mapenzi kuna ngoma kali ya family madonta inakuja so mashabiki wakae mkao wa kula.
CHUOLIFE; Ok Spince thanx for your time
SPINCE; Pamoja sana

Dont miss 10 crazy questions and answers ambayo ukuwai kufikiria kumuulizaa Spince Seseme next week. STAY TUNED
To view video of Spince BUSARA ZA MAPENZI click below