Kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo atakaewakilisha kitongoji cha Chang'ombe katka mashindano ya miss Temeke kinatarajiwa kufanyika Jumamosi hii June 9 ktika ukumbi wa Quality centre. Shindano hilo linatarajiwa kupambwa na msanii wa bongofleva maarafu kama Diamond. Viingilio katika kinyang'anyiro hicho ni Tsh 80000V-VIP na Tsh 40000 VIP na 10000 kawaida.