Msanii wa HIP HOP, Praygod, Kweka better known by his stage name as Baghdad ambaye ni ex-member wa kundi la mexicana lacavela, earlier this morning amechonga na CHUOLIFE kuhusiana na movie yake hot inayokwenda kwa jina la LINAH.
Young rapper huyo amesema hadi movie kukamilika na kuingia sokoni itagharimu pesa za madafu(tanzanian shillings) kama million 18
Rapper mkali wa freestyle ameongezea kuwa movie hiyo itawashirikisha wanamuziki zaidi ya 30wa bongofleva, bila kusahau company iliyo simamia production inayoitwa Shine production, chini ya director Pete.
So bongo movie fans stay tuned kwani movie itakuwa sokoni right after idd