
Mwanafunzi raia wa Kenya aliye tambulika kwa jina la Alexander Kinyua, anatuhumiwa kumuua mwanafunzi mwenzake raia wa Ghana aliyetambulika kwa jina la Kujue Bonsafo Agyei-Kodie na kisha kula moyo na ubongo wake alhamisi wiki hii .
Alexander inasemekana alimuua mwenzake huyo aliyekuwa akiishi nae kwa kile kilicho daiwa kuwa rafiki yake huyo alikuwa na akili nyingi muungwana na anaye kubalika, hivyo kwa kumuua na kula ubongo wake angekuwa kama yeye
Mkenya huyo anaaishi Marekani anasoma katika chuo kikiuu cha Morgan kilichopo Baltmore.