Bondia wa ngumi za kulipwa floyd Mayweather jr, amehukumiwa kwenda jela siku 90 kwa kile kilicho elezwa kumshambulia mpenzi wake. Bondia huyo ambaye mara ya kwanza alikuwa aingie jela mwanzoni mwa mwaka huu lakini aliomba kujiandaa na mpabano wake uliofanyakia may 5 dhidi ya Miguel Cotto wa Puertorico,