![]() |
Winifrida Paulo akiwa na furaha baada ya kutangazwa mshindi |


Hatimaye safari ya kumtafuta mrembo wa kumtafuta mrembo atakaewakilisha mkoa wa mbeya katika mashindano ya miss Tanzania imefikia mwisho apo jana usiku. Katika shindano hilo lililofanyika katika ukumbi wa mkapa conference hall Winifrida Paulo aliibuka mshindi.