Friday, July 27, 2012

JE UNAHITAJI KUSOMA INDIA? SOMA HAPA


NOIDA INTERNATIONAL UNIVERSITY



Chuo cha Noida international university kilichopo New Delhi India kinawatangazia nafasi za masomo kwa msimu wa mwaka 2012-2013 katika kozi zifuatazo   School of Engineering n Technology, School of Journalism n Mass Communication,School Of Business management ,School of Liberal Arts,School of Legal Studies n Research,School of architecture,school of medical sciences n research,school of Sciences,School of Fine Arts katika ngazi zote diploma ,degree,masters n PhD muhula utaanza septemba mwaka huu.kwa maelezo zaidi email me @ jossy802002@yahoo.com or piga simu namba 0714 501141  0713 -735289 au 0767 -835289.