Rapper kutoka kundi la YMCMB Tyga yuko mbioni kuitwa baba, tyga na mpenzi wake ambaye ni super model Blac Chyna wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza soon mwaka huu.
Kama humjui CHYNA ni yule bonge la dem kwenye music video ya tyga inayoitwa rack city|.