Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania,anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma,Bw.Omary Kariati aliefanyikisha mradi huo na kununua trekta(15)kwaajili ya wakulima nchini.Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiangalia moja ya Trekta kati ya(15) kabla ya kuzindua mradi endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kwa ushirikiano na benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya Kwadelo Bw.Omary Kariati.Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma, Bw.Omary Kariati wapili kushoto. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.