
Tanzania Youth Coalition imefanikiwa kutoa mafunzo ya uangalizi wa uchaguzi mkuu kwa baadhi ya vijana wa kitanzania, vijana hao watakuwa waangalizi katika wilaya ya Kinondoni katika majimbo ya Ubungo, Kawe, Kinondoni na Kibamba.Ningependa kuwashukuru team nzima iliyoendesha mafunzo hayo siku ya jumatatu 19/10/2015


