Thursday, October 22, 2015

ONDOA KIPINDUPINDU CAMPAIGN


Chuolife organization ikishirikiana na wizara ya afya na ustawi wa jamii inaendesha kampeni ya kuelimisha wananchi wa Dar es salaam kuhusiana na ugonjwa wa kipindupindu. Kuanzia Chuolife Organization imenzia manispaa ya Ilala katika kata za Tabata, Vingunguti na Buguruni. 
Kampeni hii ina lengo la kupunguza mlipuko wa kipindupindu kwa kutoa elimu ya kipindupindu kwa wananchi.