Mwanamitindo na muimbaji mwenye mvuto wa aina yake selena gomez, ambaye pia ni mpenzi wa muimbaji maarufu justinne bieber hivi juzi juzi alinaswa na camera za mapaparazi akijiachia kiasi cha kusahau kuwa bikini yake ilikuwa ina shuka na kuacha sehemu kubwa ya makalio yake kuonekena wazi wazi..
Thursday, May 31, 2012
REDDS MISS MBEYA 2012


Redds miss Mbeya 2012 inatarajiwa kufanyika kesho tarehe 1 June katika ukumbi wa Mkapa conference hall. katika shindano hilo kiingilio kitakua ni Tsh 10000 kwa VIP na Tsh5000 kawaida, Shindano litasindikizwa na Coast modern taarab.
Wednesday, May 30, 2012
CHUO KIKUU CHA ZAMANI KUPITA VYOTE
![]() |
area around bologna old city center |
The 23 Faculties are:
- Advanced School of Modern Languages for Interpreters and Translators (SSLMIT)—Forlì
- Faculty of Agriculture—Bologna/Cesena
- Faculty of Architecture Aldo Rossi—Cesena
- Faculty of Economics
- Faculty of Economics—Forlì
- Faculty of Economics—Rimini
- Faculty of Education Sciences
- Faculty of Engineering
- II Faculty of Engineering—Cesena/Forlì
- Faculty of Exercise and Sport Sciences
- Faculty of Foreign Languages and Literature
- Faculty of Industrial Chemistry
- Faculty of Law
- Faculty of Letters and Philosophy
- Faculty of Mathematical, Physical and Natural Sciences
- Faculty of Medicine and Surgery
- Faculty of Pharmacy
- Faculty of Political Sciences
- Faculty of Political Sciences Roberto Ruffilli
- Faculty of Preservation of the Cultural Heritage
- Faculty of Psychology—Cesena
- Faculty of Statistical Sciences
- Faculty of Veterinary Medicine
Tuesday, May 29, 2012
EXCLUSIVE Q&A SESSION WITH MODEL OF THIS WEEK
![]() |
Today chuolife got time to chit chat with one of our top model this week a young talented girl goes by the name of Anastacia Peter Johnson , a girl from zanzibar, she completed her high school education at st laureate schools this same year
find out our conversations...
CHUOLIFE; How do u handle school and modelling?
ANNY; Well i always do modelling on my own time and school on its own time so its easy for me for me to do them both coz am used to it and i dont it that hard since modelling is what i like and school is what keeps me going.
CHUOLIFE: who inspirred u mostly
ANNY; In tanzania Jokete Mwegelo and abroad Naomi Cambell and Jessica Alba.
CHUOLIFE; do u do any sports?, which one?
ANNY;Yes i do, swimming and basketball
CHUOLIFE; Places you mostly like to hang out
ANNY; Clubs, beaches and malls
CHUOLIFE; Which outfit are you mostly comfotable with?
ANNY; mini skirts and jeans
CHUOLIFE; How do you maintain your body and your beauty
ANNY; Am naturally beautiful so i am mostly concerned about my hair
CHUOLIFE; when it comes to wines which one do u prefer red white
ANNY; White
CHUOLIFE; do u have a boyfriend
ANNY; Yes i do
CHUOLIFE;thanks fo your time
ANNY;OK
RIHANNA CONFIRMS TO BE IN LOVE WITH DRAKE ON TWITTER

Mwanadada kutoka code ya +1 Rihanna aametangaza kua katika uhusiano wa kimapenzi na artist kutoka lebel ya YMCMB Drake. Rihanna amepost katika twitter account yake leo.
Monday, May 28, 2012
CHUOLIFE EXCLUSIVE INTERVIEW WITH CBE(COBESO) VICE PRESIDENT
Lutema M Lutema(vice) Manhe N. Jonathan(president) |
CHUOLIFE; Wana CBE watarajie nini kutoka kwenu?
LUTEMA;Wana CBE watarijie yale yote tuliyo yaorodhesha katika manifesto kipindi cha kampeni
CHUOLIFE; Mmefikiria kuwashirikisha wapinzani katika serikali yenu?
LUTEMA; Tutawashirikisha wapinzani ikiwa watakubali mabadiliko,
CHUOLIFE; Una wambia nini wana CBE?
LUTEMA; Napenda kuwaambia kwamba, serikali yetu ni serikali ambayo haina ubaguzi,na ipo kwa ajir ya wanafunzi a CBE, watupe ushirikiano katika kuijenga CBE na kukuza mahusiano kati ya wana CBE na jamii kwa ujumla
Wakati huohuo COBESO imetangaza makatibu wa kuu wa wizara na wasaidizi wao, majina ya makatibu wa kuu na wasaidizi wao ni kama ifuatavyo
Ministry of education and academic affairs
-Joseph Antony
-Peter Maiga
Ministry of finance
- Kiange Emmanuel
Ministry of sports and games
-Rolland Revocatus Kessy
-Sajidu Elias
Ministry of external affairs
-Maria B Mwalongo
Ministry of information
-Daniel Daudi
Ministry of health and cafeteria
-Hipolit Mvuyekule
-Godfrey G Otieno
Ministry of night college program affairs
-Yusuph K Hassani
Ministry of sponsorship
Chishimba Mwasambungu
Ministry of social and cultural affairs
- Mickidadi Mwipopo
-Evanuru Isack
Ministry of women ethics and women affairs
-Naomi Mathias
Ministry of accomodation
-Bernard Bavu
Ministry of constitution, justice and legal affairs
-Morgan George
Ministry of security and good relationship
-Maximillian Masawe
Ministry of enviromental affairs
-Azibeth Josiah
Saturday, May 26, 2012
GUCCI MANE ADONDOSHA MIXTAPE
Hip hop artist from area ya Obama Gucci mane, ameachia mix tape inayokwenda kwa jina la i'm up. Katika mixtape hiyo Gucci mane amewapa mashavu rick ross, jim jones, birdman, big sean na wengine wengi.
REDDS MISS IFM 2012: PHINA REVOCATUS ATWAA TAJI
![]() |
Phina revocatus akiwa katika pozi la pamoja na mshindi wa pili na wa tatu |
![]() |
Miss IFM 2012 akiwa na Mr IFM 2012 |
Mbio za kumsaka mrembo atakaye kiwakilisha chuo cha usimamizi wa fedha IFM katika kinyang'anyiro cha miss vyuo vikuu 2012 zimefikia tamati hapo jana usiku katika ukumbi wa blue pearl hotel. Katika shindano hilo ambalo lilipambwa na msanii wa bongo fleva diamond, Mshiriki Phina Revocatus aliibuka mshindi wa kwanza akifuatiwa na mshindi wa pili Jane Augustino na wa tatu Theresia Isaya.
Friday, May 25, 2012
DIAMOND NDANI YA BBA STAR GAME HOUSE
Msanii mkali wa bongo fleva anayetamba na wimbo wake wa nimpende nani, na pia mshindi wa tuzo tatu za kilimanjaro tanzania music awards (KTMA) kwa mwaka 2011/2012, atatumbuiza ndani ya BBA siku ya jumapili may 27 kwenye live eviction show saa 20;00 CAT
Kumbuka diamond ni msanii wa kwanza kutoka Tanzania kuwa nominated kwenye tuzo za MTV african music awards (MAMA).category ya new act award 2010
Wednesday, May 23, 2012
USIKOSE REDS MISS IFM 2012
Baada ya kuahirishwa mara ya kwanza pale cine club kutokana na mvua kubwa, Reds miss ifm 2012 sasa itakuwa pale blue pearl, Ubungo
KIBANDA CHA SIMU KAMA UBONGO WA BINADAMU
ubunifu huu wa aina yake umetokea huko jiji la Sao Paulo, Brazil
Lengo ni kuongeza mvuto katika jiji hilo
Monday, May 21, 2012
AIRTEL SUPA 5 SHOW
Godizilaa jukwaani
mwasiti na darasa
Darasa
Richard akifanya vitu vyake
dogo janja
Tundaman
Madee
Mamia ya watu waliudhuria
mwasiti na darasa
Darasa
Richard akifanya vitu vyake
dogo janja
Tundaman
Madee
Mamia ya watu waliudhuria
IFM YANG'ARA SAFARI LAGER HIGHER LEARNING POOL TABLE COMPETITION
Baadhi ya matukio yaliyojiri katika safari lager higher learning pool table competition yaliyofanyika jumap[li iliyopita maeneo ya cocobeach na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) kuibuka vinara.............
Friday, May 18, 2012
Drake Reveals Why He's Not in a Relationship and How Long He Expects to be Rapping
Just when it seemed Drake was establishing himself in the top tier of the rap game, he tells i-D magazine over a meal that he won’t be rapping for long. Drizzy revealed that he wanted to make a return to acting after making his first mark on the entertainmen
The Canadian emcee delves into the reason why he’s single, the film that made the most impact on his life and how long we can expect his music to stick around. Here are some highlights.
Knowing when he’s in love:
For me, it’s a time thing. It’s like the feeling just doesn’t go away. I'm one of those people where I become uninterested very quickly because my whole life is about chasing what’s next. We’re sitting here talking about “Take Care” and how successful it’s been but I could care less because I have another album to make…Unfortunate
source; vibe.com
Rick Ross Debuts 'Maybach Music: Self Made 2' Cover
Hii ni album cover ya Maybach music group iitwayo self made 2 inayotarajiwa kwenda sokoni June 26th............
Thursday, May 17, 2012
MY PRESIDENT IS BLACK
IFM SO President Charles Michael akiwana IFM Members..........Charles Michael alishinda katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa week iliyopita.........
Wednesday, May 16, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)